WATU WAKIMSIFU YESU KRISTO WAKICHEZA NA KUIMBA NYIMBO ZA SIFA
MCHUNGAJI TAJU NA MTAFRI WAKE PAUL, WAMISHENARI KUTOKA KAMERUNI WAKIFUNDISHA KUHUSU NGUVU ILIYOPO KATIKA KUMSIFU MUNGU.
KWAYA YA MZEITUNI WA MADHABAHUNI KUTOKA ECWC - MJI WA BWANA MBEZI KWA MSUGULI, DAR ES SALAAM WAKIMUIMBIA MUNGU.
MAMA ASK. MANASE, D.M., AMBAYE PIA NDIYE MWALIMU WA KWAYA YA MZEITUNI WA MADHABAHUNI AKIMWIMBIA MUNGU.
MCHUNGAJI EMMANUEL, MMISHENARI KUTOKA KAMERUNI AKIFUNDISHA KWA MFANO KUHUSU UTHAMANI ALIYONAO MWANA WA MUNGU AKIWA DUNIANI.