MCH. TITO TUNDA AKIHUBIRI KUHUSU KULIELEWA NENO NA SIO KUWA MSIKILIZAJI TU WA NENO. / PST. TITO TUNDA WAS TEACHING ABOUT NOT ONLY TO LISTERN TO THE WORD OF GOD BUT ALSO UNDERSTANDING IT.
REV. FESTUS MUNGA KUTOKA KENYA AKIFUNDISHA KUHUSU UTOAJI, MAOMBI NA USHIRIKA KATIKA KANISA / REV. FESTUS MUNGA FROM KENYA WAS TEACHING ABOUT THANKS GIVING, PRAYER AND COOPERATION IN CHURCH.
WAMASAI WAKIONGOZA SIFA / MAASAI WERE LEADING PRAISING GOD.
KWAYA YA MZEITUNI WA MADHABAHUNI WAKIIMBA / MZEITUNI WA MADHABAHUNI CHOIR WAS SINGING.
UONGOZI MPYA WA IDARA YA VIJANA JIMBO (kutoka kushoto ni REHEMA BAHA - Mhazini, AMIAS MIRENI - Mwenyekiti na Katibu) / REGIONAL YOUTH NEW LEADERSHIP 2014
WACHUNGAJI WAKIONGOZA KUSIFU NA KUABUDU / PASTORS WERE LEADING PRASE AND WORSHIP ON THE STAGE.
MCHUNGAJI MDUMA KUTOKA KANISA LA MOROGORO AKIONGOZA WATU KUMSIFU MUNGU / PST. MDUMA FROM MOROGORO CHURCH WAS LEADING PRAISE.
MAMA MCHUNGAJI JAROME AKIONGOZA SIFA / PST. JAROME'S WIFE WAS LEADING PRAISE.
KUABUDU / WORSHIPING
PROPHET WISDOM FROM NIGERIA WAS PRAYING FOR THE CONGREGATION.