Alhamisi, 28 Agosti 2014

SIKU YA PILI YA KONGAMANO LA WANAWAKE KANISA LA ELIM PENTEKOSTE JIMBO LA MASHARIKI NA PWANI (26 - 29/08/2014). KONGAMANO LINAFANYIKA CHALINZE.

Baadhi ya walimu katika kongamano hilo wakisikiliza mafundisho. (kutoka kulia; Sifa Mgweno, Secilia Mgweno na Mwalimu kutoka Kenya.

Mama Ask. Manase, D.M. akisikiliza mafundisho.

Kutoka kulia; Mama Ask. Washira akiwa na mama Apostle Joshua ambao wote ni walimu katika kongamano hilo.

Wachungaji na viongozi wa Jimbo la Mashariki na Pwani kanisa la Elim Pentekoste Tanzania. Kutoka kulia; Mch. Mduma, Mhazini wa Jimbo kutoka Morogoro: Mch. Tito Tunda, Mjumbe kutoka Chalinze: na Mch. Jarome, Katibu wa Jimbo kutoka Mlandizi.
  





Naye alishiriki katika kongamano hilo. Ukimtazama vizuri, mkononi ameshika peni na tishu akiitumia kama note book yake. (Samuel Manase, Kijana wa Ask. Manase D.M.) 

Ujasiliamali.


Kiongozi wa Kusifu na Kuabudu, Humphrey Mhuville akiongoza watu Kusifu na Kumwabudu Mungu.

Mch. Jarome akifundisha.




Jumatano, 27 Agosti 2014

SIKU YA KWANZA YA KONGAMANO LA WANAWAKE KANISA LA ELIM PENTEKOSTE JIMBO LA MASHARIKI NA PWANI (26 - 29/08/2014). KONGAMANO LINAFANYIKA CHALINZE.

Madhabahu





Katibu wa Jimbo la Mashariki na Pwani, Mch. Jarome, A. akitambulisha na kukaribisha wageni wote waliohudhuria katika kongamano hilo.

Askofu wa Jimbo la Mashariki na Pwani, Ask. Manase, D.M. akifundisha.

Secilia Mgweno akifundisha.



Mama Ask. Washira akifundisha.

Washiriki katika kongamano hilo (wanaume wanaoonekana kwa karibu katika picha hapo juu ni baadhi ya wachungaji waliohudhuria kongamano hilo la wanawake)

Mwalimu kutoka Kenya alifundisha

Mch. Tito Tunda akifundisha 




Chakula cha mwili kipo tena kizuri na cha kutosha.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...