Kurasa
- NYUMBANI [HOME]
- SHUHUDA [TESTMONIES]
- MAWASILIANO [CONTACTS]
- RATIBA YA KANISA [CHURCH TIMETABLE]
- WAGENI [GUESTS]
- SHULE YA WATOTO [SUNDAY SCHOOL]
- WALIOKOKA [BORN AGAIN]
- USHAURI [CANCELLING]
- MAONO [MISSION AND VISION]
- IDARA YA KANISA [CHURCH DEPARTMENTS]
- MATANGAZO [ADVERTISMENTS]
- KWAYA YA KANISA -MZAITUNI WA MADHABAHUNI [MZAITUNI WA MADHABAHUNI ]
- KIPINDI CHA NGUVU YA NENO NA WAPO RADIO FM [POWER IN THE WORD OF GOD-WAPO RADIO FM PROGRAM]
Jumapili, 1 Novemba 2015
UJUMBE: JINSI YA KUULINDA MUUJIZA WAKO
MNENAJI: ASK. MWAYAHILA
Alianza kwa kueleza vile alivyokuta huduma ambapo anasema, "...sikuamini kuona Ask. Manase akifanya ibada na watoto wadogo... lakini kutokea huko sasa kuna Mji wa Bwana...Nao utaendelea kukua na kupendeza zaidi na zaidi..." hivyo alisisitiza kuwa ni vema muujiza ukatunzwa na ukalindwa kwa uaminifu!
KUMBUKUMBU 28:1
1. SHIKA NENO NA AHADI ZAKE
2. SIKILIZA SAUTI YA MUNGU NA UTENDE YOTE YALIYOANDIKWA KWENYE TORATI.
***USIJICHANGANYE NA MAMBO YA DUNIA: UWE MWAMINIFU KWA MUNGU
(kutoka 15:26)
3. WEKA AHADI NA MUNGU NA UWE MWAMINIFU
Zaburi 126:5 "wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha"
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)