Jumapili, 7 Septemba 2014

WATOTO WA ECWC - MJI WA BWANA WAKIHUDUMU SIKU YA JUMAPILI: 07-09-2014

 Ni raha kuwa ndani ya Yesu tukiwa bado wadogo hivi. Tunawakaribisha watoto wote kuja kushiriki nasi ibada. Ibada moja katika Mji wa Bwana inatosha kubadili maisha yako ili uwe mtoto mzuri sasa na siku zote za kuishi kwako katika dunia.

 Walisema maandiko pasi na kusoma mahali.

 Walimzawadia mwalimu wao aliyefunga ndoa mapema mwaka huu (Mwl. Zefania Wawa)

 Mwalimu Zefania Wawa aliwashukuru watoto kwa kumzawadia zawadi nzuri.

Mwl. Rehema Baha akiwasaidia watoto kusimama vema madhabahuni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...