Jumatatu, 19 Agosti 2013

IBADA YA JUMAPILI 18-08-2013 ILIYOBADIRISHA MAISHA YA WATU WENGI WALIOHUDHURIA KATIKA IBADA HIYO (SUNDAY SERVICE, 18-08-2013 THAT CHANGED PEOPLE'S LIFE)

 Wakati wa kusifu na kuabudu (Praise and worship time)
 Askofu Manase, D.M. akiowaombea viongozi wa vijana waliochaguliwa wiki iliyopita kuongoza umoja wa vijana kanisani hapo (Bishop Manase, D.M. praying for youth' leaders whilst the service after the election that was done last sunday at ECWC church)
Askofu Manase, D.M. akiwaeleza maneno ya Mungu viongozi wa vijana (Bshop Manase, D.M. saying the word of God to youth' leaders)
 Askofu Manase, D.M. akihubiri wakati wa ibada (Bishop Manase, D.M. while he was preaching in the service at ECWC church)

Nikiisha kuyapitia haya yote ni lazima itendeke
 Mambo unayoyatarajia yana thamani kubwa kuliko unayoyapitia sasa. Unapitia hayo yote ni ili jambo la tarajio lako litendeke.

Marko 8:22-26
Hii
ni habari ya mtu kipofu ambaye alifanyiwa na kufanya yote aliyoyafanya isimsaidie chochote katika siku za kuishi kwake na kuishia kuendelea kuwa kipofu mpaka pale alipotambua maisha yake si yake ila ni ya Mungu kwani ni yeye, Mungu ndiye anayeamua majira na nyakati zinazokujiria na wala si shetani. Shetani anauwezo tu wa kutambua ni wakati gani wa majira yako ya kufanikiwaanaitwa mpinzanilakini hawezi kuzuia baraka zako...

(karibu sana kwenye ibada kusikiliza yote Mungu anayosema kwa watu wake kupitia mtumishi wake Askofu Manase, D.M.)


Mama Secilia Mgweno akiimba wimbo wakati wa ibada (Secilia Mgweno singing a song)
Mama askofu Manase, D.M. akiimba wimbo wakati wa ibada (Bishop Manase's wife singing a song)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...