Mrs. Margreth Washira kutoka Nairobi, Kenya na Mwl. Sauna Joshua kutoka Morogoro (Wahubiri) |
Katibu wa jimbo KEPT, Rev. Jarome Andrea |
Askofu Manase, D.M. akiwaombea watu wakati wa ibada ya Revival.
Mama Gwasa akieleza kuhusu ujasilia mali. |
Washiriki wa kongamano wakisikiliza neno la Mungu wakati wa ibada ya Revival
kutoka kulia ni Mama Letiva akisoma neno la Mungu wakati Mwl. Sauna akifundisha kuhusu mwanamke na uchumi
kutoka kushoto ni Mch. Tito Tunda (Mujumbe wa Halmashauri Kuu, KEPT) na Mch. Jarome (Katibu, KEPT) |
kutoka kushoto ni Askofu Manase, D.M., Mama Askofu Manase, Mama Askofu Mgweno na mwenyekiti wa wamama Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania. |
Mama Askofu Secilia Mgweno akifundisha kuhusu Ufahamu wa Kiroho |
Viongozi wa wamama kanisa la Elim Pentekoste jimbo la Mashariki na Pwani (kutoka kushoto ni mwenyekiti, katibu na mtunza hazina) |
TUTATEKA NYARA
-mwanamke ndiye anayejenga.
-wanawake wanakwenda kujenga mara baada ya kujengwa
kiufahamu wa kiroho kutokea katika kongamano hili.
-maisha ya mtu sio kule anakotoka ila anakokwenda...
-MATH 20/20
-wanawake wengi huwa na shauku na maisha yajayo
kuliko baba. Mf. Baba anaweza kupata mshahara na kuumalizia kilabuni lakini
mama atafikiri sana kuhusu mahitaji ya
familia. Hivyo, hitaji kubwa la mama ni watoto wake waishi salama katika siku
zijazo…kwa hili mlilolifanya ni kujenga kizazi kijacho kufanikiwa kiroho na
kimwili katika jina la YESU.
2timotheo 1/5…nikikumbuka imani uliyonayo, tena
isiyo na unafiki…
(unakaribishwa sana katika kongamano hili. utajifunza mengi ya kukusaidia wewe, familia yako na vizazi vijavyo kwa utukufu wa jina la YESU)
THEME: ENEMY KINGS AND THEIR ARMIES FLEE WHILE WOMEN DIVIDE THE PLUNDER. PSALMS 68:12
THEME: ENEMY KINGS AND THEIR ARMIES FLEE WHILE WOMEN DIVIDE THE PLUNDER. PSALMS 68:12
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni