Alhamisi, 28 Agosti 2014

SIKU YA PILI YA KONGAMANO LA WANAWAKE KANISA LA ELIM PENTEKOSTE JIMBO LA MASHARIKI NA PWANI (26 - 29/08/2014). KONGAMANO LINAFANYIKA CHALINZE.

Baadhi ya walimu katika kongamano hilo wakisikiliza mafundisho. (kutoka kulia; Sifa Mgweno, Secilia Mgweno na Mwalimu kutoka Kenya.

Mama Ask. Manase, D.M. akisikiliza mafundisho.

Kutoka kulia; Mama Ask. Washira akiwa na mama Apostle Joshua ambao wote ni walimu katika kongamano hilo.

Wachungaji na viongozi wa Jimbo la Mashariki na Pwani kanisa la Elim Pentekoste Tanzania. Kutoka kulia; Mch. Mduma, Mhazini wa Jimbo kutoka Morogoro: Mch. Tito Tunda, Mjumbe kutoka Chalinze: na Mch. Jarome, Katibu wa Jimbo kutoka Mlandizi.
  





Naye alishiriki katika kongamano hilo. Ukimtazama vizuri, mkononi ameshika peni na tishu akiitumia kama note book yake. (Samuel Manase, Kijana wa Ask. Manase D.M.) 

Ujasiliamali.


Kiongozi wa Kusifu na Kuabudu, Humphrey Mhuville akiongoza watu Kusifu na Kumwabudu Mungu.

Mch. Jarome akifundisha.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...