Alhamisi, 11 Julai 2013

ASKOFU MANASE AHUBIRI JUU YA "TUNUKIE MANUKATO YA BWANA" SIKU YA JUMAPILI 07.07.2013

    Ni Askofu Manase akihubiri alisema wakristo tusiwe na Roho ya waebrania ambayo wao walijua Lazaro amekufa ilihali Yesu alijuwa amelala .
Askofu Manase akihubiri alisema " mtu anayetafuta manukato ya Bwana Yesu hata Ibada yake sio Ibada ya kuabudu huku akitazama wengine Kama wanamwangalia au la.


 Askofu Manese akihubiri


Jumanne, 9 Julai 2013

IBADA YA JUMAPILI YAFANA KATIKA KANISA LA ECWC


  Watoto wa Sunday school wakisema mstari ya biblia waliyoikariri kwenye vipindi vyao
 Wamama wa kanisa la ECWC

Ijumaa, 5 Julai 2013

KWAYA YA MZAITUNI WA MADHABAHUNI WAKIIIMBA KATIKA SIKU YA WANAWAKE KATIKA KANISA LA E.C.W.C ILALA BUNGONI

 Kwaya ya Mzaituni wa madhabahuni wakimuimbia Mungu siku ya akina mama.




MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU MANASE KATIKA IBADA YA JUMAPILI

Asofu Manse akiombea watu siku ya jumapili
Watoto wa Sunday School wa kanisa la ECWC Ilala Bungoni wakitamaka mistari  waliyoishika kutoka katika Biblia siku ya ibada jumapili
Watumishi wa Mungu wakiwa katika sifa

Alhamisi, 4 Julai 2013

ASKOFU MANASE KATIKA IBADA YA JUMAPILI

Tunamshukuru sana Mungu kwa wema wake. Jumapili hii ilikuwa ni jumapili ya kipekee sana kwetu. watu waliweza kubarikiwa sana. Tumeona watu wakishuhudia yale Mungu amegfanya katika maisha yao.

Askofu Manase akihudumu katika moja ya ibada kanisani siku Jumapili

Baadhi ya waumini wakifanya maombezi wakati wa ibada

TB JOSHUA: KUWA KAMA VILE MUNGU AMEKUITA

Kila siku ni siku mpya na ni mwanzo mzuri hapa SCOAN. Ibada ya Jumapili ya tarehe 30.06.2013 tumeshuhudiwa watu waliokuwa na roho za mapepo wakikombolewa. Kitu cha kushangaza na kustajabisha kulikuwa na ukombozi wa ajabu sana kwa kijana aliyetoka mbali sana huko Limpopo Afrika Kusini. Kijana huyu aliweza kuvuruga ibada ya maombezi iliyokuwa ikendeshwa na Nabii T.B Joshua ambapo alionekana na kujitokeza karibu na altare, na kuweza kuvua suti yake na kufungua vifungo vya shati, akiwa na nguvu za kupambana kivita. Kijana huyu hakuweza kujua ya kwamba vita vyetu si vya mwili bali ni vya kiroho. Alikuwa akionysha alama za mapepo mbele ya kichwa chake (paa la uso) , akaanza kuimba nyimbo za kuleta nguvu za giza za mapepo, na Nabii T.B Joshua alianza kuomba kwaajili ya kukombolewa na akatangaza kuwa kutakuwa na ukombozi.
Image
Nabii T.B Joshua alipomuuliza mtu mmoja, nini tatizo lake, alisisitiza ya kuwa alitumwa kutoka katika ufalme wa giza ili kuharibu kazi ya Mungu inayofanywa na Naboo T.B Joshua. Na mwisho ufalme wa giza ulivunjwa na kuuwawa na kuleta ufalme wa Mwanga wa yesu Kristo duniani kote

-----------------------------------------------------------------------------------------------
BE ALL GOD HAS CALLED YOU

Every day is a new dawn and a new beginning at The SCOAN. The Sunday Service of June 30, 2013 witnessed the extraordinary deliverances of those possessed by demonic spirits. Most spectacular was the melodramatic deliverance of a young man who came all the way from the Limpopo Province of South Africa. The lean-looking man interrupted the mass prayer ministration of Prophet T.B. Joshua as he boldly positioned himself in a strategic point near the altar, threw off his suit and unbuttoned his shirt, bracing up for combat. Little did he know that as children of God, our combat is not physical but spiritual. Making a demonic sign above his forehead, he started some incantations and as Prophet T.B. Joshua prayed for breakthrough, he defiantly pronounced that there would be no breakthrough!

When the Prophet asked the man what his problem was, he insisted that he had been sent from the kingdom of darkness to halt the work of God manifesting through the faculties of the man of God, Prophet T.B. Joshua. At the end of the encounter, the kingdom of darkness was dethroned, proving superiority of the kingdom of Light and the majesty of Jesus Christ over all the earth.

Testimonies of healing and deliverance through the use of the Anointing Water, Anointing Sticker and Emmanuel TV respectively, continue to pour in, as we read from the accounts that follow.

FIBROIDS DISAPPEAR AFTER MINISTERING ANOINTING WATER


Mrs Vera Igberasu, Edo, Nigeria, came with the problem of multiple fibroids to The SCOAN. They caused her severe pain in her lower abdomen and she was unable to conceive. Doctors said that she could not become pregnant unless she underwent operation to remove the fibroids. She decided to try alternative medicine but it did not help her situation.

She was privileged to receive the Anointing Water which she ministered to herself in the name of Jesus. She immediately began to experience a tremendous pressure in her womb which lasted for three hours, after which she began to feel calm and the pain completely ceased.

She went back to the doctors for reexamination and the scan showed that she no longer had any trace of the fibroids. She was then able to conceive and is happily pregnant, which had been her expectation for many years. She advised that when you put your trust in God, your pain will be taken away.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...