Alhamisi, 8 Agosti 2013

IBADA YA JUMAPILI 4/8/2013 YAFANA KANISANI ECWC ILALA BUNGONI



Watoto nao waliombewa Kama inavyoonekana pichani.

Hakika ilikuwa Ibada ya Baraka sana maana Watu waliwekwa huru na kufunguliwa .

Mch mama Cecilia akiongoza Ibada ya maombi na Maombezi, ambapo Watu walifunguliwa na kuwekwa huru.

Mchungaji Mama Cecilia Mgweno aliendelea kuhubiri na akasema " katika kitabu cha Isaya Mungu anasema wale wasio mwabudu yeye Yehova wanakuwa wanamfanyia kelele katika Ibada zao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...